MKUU WA WILAYA YA UVINZA AKABIDHI BAISKEL KWA JUMUIYA 17 ZA MAJI UVINZA.
Mkuu wa Wilaya Ya Uvinza Hanafi Msabaha akabidhi baiskeli kutoka Shirika la Afya Duniani WHO kwa Jumuiya za maji kwa ajii ya usafiri wa kuwafikia wateja kwa haraka, awaomba jumuiya za maji kuhamasisha na kuelimisha wananchi kuhusu nidham ya matumizi sahihi ya maji ili kutatua changamoto ya maji.
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh. Hanafi Msabaha na Mkurugenzi Mtendaji Zainabu Mbunda wakikabidhi baiskeli kwa mwenyekiti wa wa jumuiya za watumiajia maji wilaya ya Uvinza ndugu Saboya Saboya
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Mh. Hanafi Msabaha akiendesha baiskeli mbele ya jumuiya za maji wilaya ya Uvinza, imeshuhudiwa na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauriya uvinza Zainab Mbunda
Mmoja kati ya mwanajumuiya ya watumia maji, akishikana mkono na Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mh. Hanafi Msabaha wakati akikabidhiwa baiskeli tayari kwa kuchapa kazi.
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.